Ingia / Jisajili

Benefits of Lyrics

So, I've been asking people to include lyrics on the songs that they uploaded. I've even helped some of you to include the lyrics. Today, I'm going to show you the benefits of doing so by using two examples:

Ukisearch wimbo wa Ndiyo Mkate wa Malaika, ambao una lyrics, utapata kama ifuatavyo. Maneno uliyoweka kwenye lyrics, yanakuwa ni sehemu ya search results, hii itasaidia kwa mtafutaji kufikiria kufungua hiyo search results kabla ya nyingine.

Song With Lyrics 

Ukisearch wimbo wa Nitakipokea Kikombe, ambao hauna lyrics, utapata matokeo kama ifuatavyo, lakini maneno utakayoona ni yale yanayoonesha categories na links mbalimbali. 

Song Without Lyrics 


So please consider adding lyrics to your songs.