Hello uploader,
Kutokana na mabadiliko kwenye site yetu, ni lazima utambue kuwa utaratibu wa ku-upload nyimbo umebadilika kidogo.
Kwanza kabisa, utaona kuwa 'mtunzi' anaweza kuchaguliwa kutoka kwenye orodha ya watunzi ambao nyimbo zao zimo tayari kwenye Swahili Music Notes.
Ikiwa mtunzi ni mpya, ni lazima u-click kwenye kibox kinachosema "Mtunzi hayupo kwenye list". Kisha utapata nafasi ya kuchapa jina la mtunzi ambaye hayupo kwenye list.
ZINGATIA:
Pia, unaweza kuongeza Date of Composition na Place of Composition. Hizi bado hazionekani kwenye site, ila mambo yakiwa tayari zitaonekana.