Nimepokea maswali wengi juu ya kujiunga na kundi la Fr. G. Kayeta. Natumaini maelezo haya yatasaidia wengi.
KAMA UPO FACEBOOK:
- Login kwenye account yako ya Facebook kwa kwenda www.facebook.com
- Juu kabisa, kwenye sehemu ya "Search", Andika > Fr. G.F. Kayeta
- Click kwenye "result" ya kwanza ya "Search". Ukisha fungua ukurasa wa Fr. G.F. Kayeta, bonyeza join.
KAMA HAUPO FACEBOOK:
- Fungua account yako Facebook kwa kwenda www.facebook.com
- Baada ya kufungua account ya Facebook, fuata maelezo kama hapo juu.