Hahahaha, this was an interesting fix. Na kama wewe ni mdadisi utakuwa umeshagundua mabadiliko ambayo yamefanywa kwenye site. Wazo hili nilikuwa nalo tangia awalli, ila uvivu na ukosefu wa data za kutosha vilinifanya nisiifanye mapema.
Wazo hili liibuliwa upya na Bwana Beatus Idama, ambaye alinionesha mifano ya website mbalimbali za kimataifa ambazo tayari zinafanya hili. Wazo ni kuwa kwa nini tusiwe na "Album" ya nyimbo zote zilizotungwa na mtunzi fulani? Yani, mtu akitaka aone nyimbo zote za John Mgandu, aweze kuzipata.
Well, now you can.
Kuna njia mbili za kupata nyimbo za mtunzi fulani