Ingia / Jisajili

Reporting an Error in a Song

Kwa nia ya kuhakikisha nyimbo zinazoingia Swahili Music Notes zinakuwa katika ubora unaofaa, nimeona ni bora kuwe na njia bora ya kutoa taarifa iwapo wimbo utakuwa na makosa. Kama utaona wimbo wenye makosa, basi utaclick wenye link inayosema "Report Song", kama invyoonekana kwenye picha hapo chini. Ni muhimu sana kuwa 'clear' katika maelezo yako ili yaweze kweli kumsaidia aliyeupload wimbo kufanya marekebisho. 

 

Wimbo ukiwa reported, taarifa itafika kwa Mtunzi (kama tunayo mawasiliano naye), aliye-upload wimbo na admin.

 
 
Tafadhali tutumie 'Feature' Hii vizuri.
 

Error Demo