Mfahamu Abraham Sangura, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Jimbo la Kitale Parokia ya St. Peter's Claver Kiminini
Idadi ya nyimbo SMN: 8 > Zitazame
Jimbo analofanya utume: Jimbo la Kitale
Parokia anayofanya utume: St. Peter's Claver Kiminini
Namba ya simu: +254704142163
Soma Historia na maelezo yake hapaWasiliana na mtunzi kwa email:
Mwalimu wa Muziki katika parokia ya Mt.Petro wa Claveri, Jimbo la Kitale, Kenya. Pia, mwanafunzi katika chuo kikuu cha Moi University nikiwa moja kati ya Music directors, St. Michael's Chaplaincy, Moi University, Eldoret Kenya.