Ingia / Jisajili

Alfred L. Mchele

Mfahamu Alfred L. Mchele, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Mwanza Parokia ya Buhingo-Ikungumhulu

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 45 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Mwanza

Parokia anayofanya utume: Buhingo-Ikungumhulu

Namba ya simu: 0621195037

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

  • Namshukuru Mungu wangu kwa kunijalia kuwa mtunzi wa nyi hllmbo pia mpiga kinanda na mwalimu wa kwaya tangu mwaka 2008. Kwa namna ya pekee nawaombea raha ya milele walimu wenzetu maarufu Mgandu, Kayetta, Makoye, Mkomagu, Mwanampepo, Nyundo na wengine wote ambao nyimbo zao zimekuwa pendwa kazazi na kizazi. Mungu anitie nguvu katika kazi yake hii. Ubarikiwe sana na bwana. Wasiliana nami kwa namba zifuatazo; 0782150331 0621195037 0613125037 0766699423 Katika maisha, kumwimbia bwana ni jambo la kheri sana. Nawatakia kila la kheri ninyi nyote mnaomwimbia bwana. Barikiweni sana. "Alfred Lazaro Mchele"