Ingia / Jisajili

Anophrine D. Shirima

Mfahamu Anophrine D. Shirima, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Kuu Katoliki-Arusha. Parokia ya Roho Mtakatifu-Ngarenaro.

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 54 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Kuu Katoliki-Arusha.

Parokia anayofanya utume: Roho Mtakatifu-Ngarenaro.

Namba ya simu: 0685218108/0755843854

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

FULL NAME; Anophrine Desdeus Shirima.

EDUCATION; Mzumbe University{2016-2019}, Mkuu High School{2014-2016}, Ngarenaro Sec. School{2010-2013}.

CHOIRS;St.Lucia[Ngarenaro-Arusha], St.John Paul II[Mkuu High School], St.Thomas Moore[Mzumbe University].

FAVOURITE BOOKS; (1)Composer's hand book by Ralph Dunstan,(2)Fist Year Harmony by Willium Lovelock, (3)Mafunzo ya awali juu ya Harmony na Holyghst Fathers(1961).