Ingia / Jisajili

Baraka John

Mfahamu Baraka John, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Dar es Salaam Parokia ya Mt Ambrose Taghaste

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 110 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Dar es Salaam

Parokia anayofanya utume: Mt Ambrose Taghaste

Namba ya simu: 0719 894 390

Soma Historia na maelezo yake hapa

Historia / Maelezo

Ni mwalimu wa kwaya ya kigango cha Mt Monica Monica,Matosa kilichopo jimbo kuu la Dar es Salaam. Pia ni muimbaji wa kwaya sauti ya tatu(3)