Mfahamu BEN BOSCO, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Geita Parokia ya Mt.Yohane paulo II Nyankumbu
Idadi ya nyimbo SMN: 1 > Zitazame
Jimbo analofanya utume: Geita
Parokia anayofanya utume: Mt.Yohane paulo II Nyankumbu
Namba ya simu: 0755630683
Soma Historia na maelezo yake hapaWasiliana na mtunzi kwa email:
Mimi ni Benedicto Yohana Bosco Kagole(Ben Bosco Kagole),mwalimu na mtunzi wa nyimbo za kikatoliki.Mzaliwa wa Jimbo katoliki Geita,ni matumaini yangu kuwa utafurahia na kuwa na amani kupitia karama hii aliyonijalia mwenyezi Mungu