Mfahamu Benjamin O. Mwabusila, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Musoma Parokia ya Butiama
Idadi ya nyimbo SMN: 1 > Zitazame
Jimbo analofanya utume: Musoma
Parokia anayofanya utume: Butiama
Namba ya simu: 0762774049
Soma Historia na maelezo yake hapaWasiliana na mtunzi kwa email:
Ni Mkristo Mkatoliki, Nimeoa, Mwalimu wa Kwaya Katika Parokia ya Butiama, Mfamasia katika Wilaya ya Butiama, Mratibu wa Bima ya Afya NHIF wilaya ya Butiama na Pia Katibu wa Kanisa Katoliki Parokia ya Butiama.