Mfahamu Boniphase Ntalyoka, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Dar es salaam Parokia ya Mtakatifu Monika Kilungule
Idadi ya nyimbo SMN: 22 > Zitazame
Jimbo analofanya utume: Dar es salaam
Parokia anayofanya utume: Mtakatifu Monika Kilungule
Namba ya simu: 0757464696
Soma Historia na maelezo yake hapaWasiliana na mtunzi kwa email:
Ni mwalimu na muimbaji wa sauti ya tatu katika kwaya ya Mtakatifu Anthony wa Padua parokia ya Mtakatifu Monika Kilungule Jimbo katoliki la Dar es salaam