Ingia / Jisajili

Daniel Michael Umbe

Mfahamu Daniel Michael Umbe, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Shinyanga Parokia ya Mt. Bhakita

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 2 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Shinyanga

Parokia anayofanya utume: Mt. Bhakita

Namba ya simu: 0718939387

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Nimejifunza Muziki Kwa mwlm Clement Msungu na baadaye mwlm. FB.Malya DSM nikawa mwalm ktk Kwa Mt.Fransisco wa asizi Manzese, Mt Rita wa Kashia kimara baruti,Mt.Fransisco wa asizi Dutwa na Sasa nafundisha kwaya ya Mt maria Magdalena Gambosi kigangoni katika parokia ya Mt Bhakita Jimbo la Shinyanga Kwaya nilizoimbia 1.TYCS Mt Monica Bassotu parish 2.St. Francis Bassotu parish 3.Mashahidi wa Uganda vikindu Tc .St Vincent parish 4.St Francis wa Asizi Manzese Parish 5.St Rita wa Kashia kimara baruti 6.St Francis wa asizi Dutwa K