Mfahamu Davis Charles Ungele, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Lindi Parokia ya Nachingwea
Idadi ya nyimbo SMN: 1 > Zitazame
Jimbo analofanya utume: Lindi
Parokia anayofanya utume: Nachingwea
Namba ya simu: 0784443549
Soma Historia na maelezo yake hapaWasiliana na mtunzi kwa email:
Mwalimu na mtunzi wa muziki mtakatifu kutoka Jimbo katokiki la Lindi parokia ya Mt. Joseph Nachingwea.
Ninahudumu kwaya ya Mt.Anna