Ingia / Jisajili

Dominicko Sungura

Mfahamu Dominicko Sungura, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la GEITA Parokia ya Mtakatifu Yohane Paul-II Nyankumbu

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 1 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: GEITA

Parokia anayofanya utume: Mtakatifu Yohane Paul-II Nyankumbu

Namba ya simu: 0775 057 362 Au 0711 844 478

Soma Historia na maelezo yake hapa

Historia / Maelezo

Anaitwa Dominicko Sungura, Ni Mwalimu wa Kwaya na Mwimbaji, anahudumu katika Kwaya Mtakatifu Maria, Kigango cha Mgusu, Parokia ya Mtakatifu Yohane Paul-II Nyankumbu, Jimbo Katoliki la Geita. Kwa mawasiliano piga simu No. 0711 844 478 Au 0757 057 362