Mfahamu Enyonyi Abemba Chriso, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la KIGOMA Parokia ya MT.LUKA/MAKERE
Idadi ya nyimbo SMN: 86 > Zitazame
Jimbo analofanya utume: KIGOMA
Parokia anayofanya utume: MT.LUKA/MAKERE
Namba ya simu: 0762556712
Soma Historia na maelezo yake hapaWasiliana na mtunzi kwa email:
Natokea jimbo katoliki la kigoma,parokia ya mt.luka makere.
kijana ambaye naimba sauti ya tatu.
Namshukuru Mungu kwa kipaji hichi alichonipa.