Mfahamu Felix Mulei M, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Machakos Parokia ya Makindu
Idadi ya nyimbo SMN: 31 > Zitazame
Jimbo analofanya utume: Machakos
Parokia anayofanya utume: Makindu
Namba ya simu: +254711204438
Soma Historia na maelezo yake hapaWasiliana na mtunzi kwa email:
Muley ni mtunzi na mchezaji kinanda kutoka Kenya, maeneo ya mkoa wa kati, kaunti ya Makueni. Ameandika nyimbo mbalimbali na nzuri, japo si zote zilizowezakuwekwa kwenye wavuti huu. Ni mkakamavu na yu radhi kukosolewa iwapo utapata dosari katika nyimbo zake.