Mfahamu Fr. C.P. Charo, OFM Cap., mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Malindi - Kenya Parokia ya St. Mary's Catholic Church - Msabaha
Idadi ya nyimbo SMN: 66 > Zitazame
Jimbo analofanya utume: Malindi - Kenya
Parokia anayofanya utume: St. Mary's Catholic Church - Msabaha
Namba ya simu: +254735015616
Soma Historia na maelezo yake hapaWasiliana na mtunzi kwa email:
Ndugu Charles Peter Charo, Ofm Cap. Ni Padre wa kanisa katoliki anayetoka nchi ya Kenya. Ni mwanachama wa shirika la Ndugu Wadogo Wakapuchini nchini Kenya. Kapadrishwa mwaka wa 2018. Kwa sasa yuko Roma - Italia kwa masomo ya Shahada ya Uzamili katika somo la Teolojia ya Maadili chuoni alfonsiana.