Mfahamu Frt Norbert Nyabahili, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Shinyanga Parokia ya Malampaka parish na Buhangija Parish
Idadi ya nyimbo SMN: 93 > Zitazame
Jimbo analofanya utume: Shinyanga
Parokia anayofanya utume: Malampaka parish na Buhangija Parish
Namba ya simu: 0756399393
Soma Historia na maelezo yake hapaWasiliana na mtunzi kwa email:
Kwa majina naitwa Frt Norbert Nyabahili mwalimu wa muziki na organist ninayefanya utume wa uimbaji parokia ya Bihangija jimbo katoliki la Shinyanga. KARIBUNI SANA WAPENDWA KUMUIMBIA MUNGU MUZIKI MTAKATIFU.