Mfahamu GERALD LUBINZA, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la JIMBO KATOLIKI LA KIGOMA Parokia ya PAROKIA YA MT. JOSEPH MAKERE
Idadi ya nyimbo SMN: 4 > Zitazame
Jimbo analofanya utume: JIMBO KATOLIKI LA KIGOMA
Parokia anayofanya utume: PAROKIA YA MT. JOSEPH MAKERE
Namba ya simu: 0742952296
Soma Historia na maelezo yake hapa
Majina halisi ni GERALD LUBINZA NCHEYE
Ni mwimbaji ambaye ameanza safari yake ya uimbaji mwaka 2009 akiwa katika parokia ya BIKIRA MARIA MALKIA WA MBINGU (shinyanga)
wakati huo alikuwa mwimbaji wa sauti ya nne katika kwaya ya Kristo mfalme
kutokea hapo amewahi kuwa mwanakwaya wa kwaya kadhaa kama vile
KRISTO MFALME...LWAMLIMI MUSOMA
MT.MATIAS MULUMBA MEATU
MARIA MAMA WA MUNGU KIBONDO(KIGOMA)
KWAYA YA FAMILIA TAKATIFU KIBONDO
Na KWAYA YA MT. LUKA MWINJILI MAKERE (KIGOMA)
Safari yake ya muziki imeanza rasmi mwez march 2024 chini ya walimu tofauti tofauti kama vile MWL JEROME KAGOMA, MWL DALMATIUS P.G.F na walimu wengine wengi pamoja na vyanzo mbali mbali vya teknolojia
tamanio langu ni kuendelea kujifunza muziki wa kanisa na kuendelea kutumika kwa kadri ya mapenzi ya Mungu kwangu