Mfahamu I.J.Simfukwe, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Mbeya Parokia ya Kamsamba
Idadi ya nyimbo SMN: 121 > Zitazame
Jimbo analofanya utume: Mbeya
Parokia anayofanya utume: Kamsamba
Namba ya simu: 0754778866 au 0739778866
Soma Historia na maelezo yake hapaWasiliana na mtunzi kwa email:
I.J.SIMFUKWE (ISAYA JOSEPH SIMFUKWE) alizaliwa tarehe 13/10/1994 katika parokia ya kamsamba. alihitimu elimu ya shule ya msingi katika shule ya msingi kamsamba mwaka 2007. alihitimu elimu ya kidato cha nne katika shule ya sekondary ILASI iliyopo vwawa mjini mbozi mwaka 2012. Alihitimu kidato cha sita mwaka 2015 katika shule ya sekondari UMBWE iliyopo Kibosho Moshi. Alihitimu shahada ya maabara katika chuo kikuu cha bugando kilichopo mwanza. huko mwanza ndiko alikojifunza muziki wa nota ambapo alifundishwa kuimba nota na EGDIUS SIMFUKWE na kisha uandishi na utunzi wa nyimbo za nota na ERIC KESSY na baadae Akafundishwa na F.E.NYANZA