Mfahamu James Juma, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Kitui-Kenya Parokia ya Mwingi
Idadi ya nyimbo SMN: 8 > Zitazame
Jimbo analofanya utume: Kitui-Kenya
Parokia anayofanya utume: Mwingi
Namba ya simu: 0706098229
Soma Historia na maelezo yake hapaWasiliana na mtunzi kwa email:
Juma ni mwalimu wa Muziki mtakatifu katika kanisa katoliki ,kutoka Kenya,Jimbo la Kitui parokia ya Mwingi.mtunzi huyu hufanya tungo za Ibada.Karibu kuzitazama na kusoma baadhi ya tungo za Misa Takatifu.Asanteni.Mwenyezi Mungu azidi kutubariki sote na kutuongoza .Amina!