Mfahamu Joeli H.Kanyika, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Mafinga Parokia ya Ibwanzi
Idadi ya nyimbo SMN: 1 > Zitazame
Jimbo analofanya utume: Mafinga
Parokia anayofanya utume: Ibwanzi
Namba ya simu: 0745024355
Soma Historia na maelezo yake hapaWasiliana na mtunzi kwa email:
Masikini huyu aliita Bwana aliita Bwana akasikia×2
1. Nitamuhimidi Bwana kila wakati, sifa zake zi kinywani mwangu daima, katika Bwana nafsi yangu itajisifu, wanyenyekevu wasikie waafurahi.
2. Uso wa Bwana ni Juu ya watenda mabaya, ili aliondoe kumbukumbu lao duniani,Walilia naye Bwana akasikia,akawaponya na tabu zao zote.
3. Bwana yu karibu nao waliovunjika moyo, na waliopondeka roho huwaokoa, Bwana huzikomboa nafsi za watumishi wake, wala hawatahukumiwa wote wamkimbiliao.