Ingia / Jisajili

John Laurent

Mfahamu John Laurent, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Jimbo Jimbo la GEITA. Parokia ya Parokia ya Bikira Maria wa Fatima.

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 2 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Jimbo Jimbo la GEITA.

Parokia anayofanya utume: Parokia ya Bikira Maria wa Fatima.

Namba ya simu: +255 627 162 191

Soma Historia na maelezo yake hapa

Historia / Maelezo

Mimi ninaitwa John Laurent.

Ninaupenda sana wito huu, na karama hii maridhawa ya Uimbaji. Aidha, ninamshukuru Mungu Baba wa Mbinguni kwa kunijalia KIPAJI Cha UTUNZI WA NYIMBO Takatifu za kumsifu Mungu. Ninawashukuru ndugu, jamaa na marafiki wote walionitia Moyo na wanaoendelea kutembea pamoja nami ktk safari hii ya Maisha ndani na nje ya UTUME HUU. Mungu awabariki, na ninawatakia kila lililojema katika MAISHA YENU siku zote.

Amina.