Mfahamu Johnstone sebastian, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Mbeya Parokia ya Igogwe
Idadi ya nyimbo SMN: 6 > Zitazame
Jimbo analofanya utume: Mbeya
Parokia anayofanya utume: Igogwe
Namba ya simu: 0743537423
Soma Historia na maelezo yake hapaWasiliana na mtunzi kwa email:
Mwl Johnstone sebastian ni mwalimu wa shule ya sekondari ambaye ameanza kazi ya kuimba kwaya mwaka 2007 akiwa mwimbaji wa sauti ya tatu, nimeanza safari yangu ya kujifunza muziki mwaka 2013 kwa sasa ni mtunzi wa nyimbo kanisa katoliki na mpiga kinanda, napenda kumtumikia Mungu kwa njia hii.