Mfahamu Jumapili Kiza Yakobo(Jukiya), mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la KIGOMA Parokia ya MT.LUKA/MAKERE
Idadi ya nyimbo SMN: 23 > Zitazame
Jimbo analofanya utume: KIGOMA
Parokia anayofanya utume: MT.LUKA/MAKERE
Namba ya simu: 0767415282
Soma Historia na maelezo yake hapa
Mwalimu toka kwaya ya mt.cecilia.
Jimbo katoliki la kigoma,parokia ya mt.luka,kingango cha familia takatifu.
Nitamwimbia Mungu hadi nizeeke.