Ingia / Jisajili

Laurian Gregory

Mfahamu Laurian Gregory, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Dar es salaam Parokia ya Epifania-kijichi

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 3 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Dar es salaam

Parokia anayofanya utume: Epifania-kijichi

Namba ya simu: 0753463822

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

 Mimi laurian gregory ntuja nimezaliwa katika mkoa wa Tabora wilaya ya Nzega kata ya Ikindwa kwa sasa ni Mwl. wa kwaya katika kwaya ya Bikira maria mama wangu parokia ya epifania kijichi Dar es salaam

Pia ni Afisa muuguzi katika hospital ya chamazi zago