Mfahamu Michael Bendera, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Tanga Parokia ya Mlingano
Idadi ya nyimbo SMN: 3 > Zitazame
Jimbo analofanya utume: Tanga
Parokia anayofanya utume: Mlingano
Namba ya simu: 0654292952
Soma Historia na maelezo yake hapaWasiliana na mtunzi kwa email:
Ni mzaliwa wa Tanga wilaya ya Muheza, kijiji cha Mlingano. Nahudumu katika kigango cha Azimio parokia ya Mlingano