Mfahamu Michael Mhanila, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la IRINGA Parokia ya SADANI
Idadi ya nyimbo SMN: 76 > Zitazame
Jimbo analofanya utume: IRINGA
Parokia anayofanya utume: SADANI
Namba ya simu: 0752268246
Soma Historia na maelezo yake hapaWasiliana na mtunzi kwa email:
Mimi ni Michael Mhanila nilisoma chuo cha Mt. Augustino Mwanza nilikuwa Mwalim wa Kwaya ya Mt. Martin De porres naimba kwaya ya mtakatifu bakhita parokia ya sadani ninaelimu ndogo ya kimziki kwa sasa nipo tegeta dar es salaam .tumsifu Yesu kristo, ni mwl geography na economics 0752268246