Ingia / Jisajili

MWL ABRAHIMU SHIJA SHILONDELA

Mfahamu MWL ABRAHIMU SHIJA SHILONDELA, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la RULENGE - NGARA Parokia ya BWANGA

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 1 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: RULENGE - NGARA

Parokia anayofanya utume: BWANGA

Namba ya simu: 0623205222

Soma Historia na maelezo yake hapa

Historia / Maelezo

Mwalimu Shija Abrahamu shilondela ni mwalimu,Mtunzi wa nyimbo za kikatoliki, na mwanakwaya anaye hudumu kwaya za parokia ya Bwanga katika jimbo Katoliki  la Rulenge Ngara