Mfahamu Nsolo S. Stephen, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Shinyanga Parokia ya Buhangija
Idadi ya nyimbo SMN: 13 > Zitazame
Jimbo analofanya utume: Shinyanga
Parokia anayofanya utume: Buhangija
Namba ya simu: 0757486861
Soma Historia na maelezo yake hapaWasiliana na mtunzi kwa email:
Mwalimu Mstaafu, Ubatizo 22/09/1954 Ndala, Tabora, Komunio, Ndala, Tabora 27.06.1962, Kipaimara 29.06.1962 Ndala, Tabora *Mafunzo ya Ualimu wa Muziki katika Chuo cha Ualimu Butimba 1993 - 1995