Ingia / Jisajili

Philemon Kajomola {Phika}

Mfahamu Philemon Kajomola {Phika}, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la IFAKARA Parokia ya KILOMBERO

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 244 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: IFAKARA

Parokia anayofanya utume: KILOMBERO

Namba ya simu: +255 756 424 278 & +225 788 424 278

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

MIMI NILIZALIWA TAREHE 11/03/1980 KATIKA KIJIJI CHA KIZITO HUONJWA KATA KIMBIJI WILAYA YA TEMEKE MKOANI DAR ES SALAAM NILIPATA KOMUNIO 1996 KATIKA PAROKIA YA TABATA NA KIPAIMARA 1997 NIMEFUNGA NDOA 02/01/2010. MWALIMU WANGU WA MUZIKI ROBERT KAWITE.

KITAARUMA MIMI NI FUNDI UMEME {ELECTRICIAN} PIA NI FUNDI MAFRIJI NA VIYOYOZI {REFRIGERATION AND AIR CONDITIONER TECHNICIAN NIMEAJIRIWA KATIKA KAMPUNI YA SUKARI KILOMBERO [ILLOVO GROUP] NIMEWAHI KUIMBA NA KUFUNDISHA NYIMBO KWENYE KWAYA ZIFUATAZO:-

1. MT.JOSEPH TABATA 2. MT.DONBOSCO KIMANGA 3. MT.THERESIA WA MTOTO YESU IGOGO JUU BUGANDO 4. MT.JOSEPH TABAKA KISII KENYA 5. MT. FRANSISCO NYANDEO 6. MCHUNGAJI MWEMA K1 KILOMBERO AMBAPO NIPO HADI SASA INGAWA MAJUKUMU YA KAZI YANANINYIMA MUDA WA MAZOEZI LAKINI NAMSHUKURU MUNGU ANANIPIGANIA 

ASANTE BABA MUNGU MWENYEZI KWA YOTE AMINA. p.masalu@yahoo.com