Mfahamu Thaddeus Leonard Pius, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la TANGA Parokia ya KABUKU
Idadi ya nyimbo SMN: 6 > Zitazame
Jimbo analofanya utume: TANGA
Parokia anayofanya utume: KABUKU
Namba ya simu: 0682781764
Soma Historia na maelezo yake hapaWasiliana na mtunzi kwa email:
Thaddeus Leonard Pius ni mtunzii wa nyimbo za kikatoliki kutoka Jimbo katoliki la Tanga Parokia ya KABUKU Kwaya ya Mt. GREGORY MKUU-Kabuku Pia ni Mwanafunzi wa Shahada ya kwanza ya uuguzi kutoka St.John's University of Tanzania