Mtunzi: Stephen Wambua Mutua
> Mfahamu Zaidi Stephen Wambua Mutua
> Tazama Nyimbo nyingine za Stephen Wambua Mutua
Makundi Nyimbo: Kwaresma
Umepakiwa na: Stephen Wambua Mutua
Umepakuliwa mara 4 | Umetazamwa mara 12
Download Nota Download MidiMATESO YAKE YESU(Key F major)
1. Mateso
yake Yesu, (yalitupa uzima), injili yake Yesu, (tumainio letu).
Chorus
Msalabani Yesu, tukapata uzima, pale
msalabani, Yesu aka tukomboa, Alleluia
2. Tumtazamie
Bwana, (ndiye njia ya kweli), pale msalabani, (tukaondolewa dhambi)
3. Kuchapwa
kwake Yesu, (kuliitu komboa), pale ee ee kalvari, (tukapata wokovu)
4. Msalaba
mzito, (alibebeshwa Yesu), ili mimi na wewe, (tupate ukombozi)
5. Kwa
ujasiri Yesu, (akatushindania), Msalabani Yesu, (kasema imekwisha)