Maneno ya wimbo
Sikiliza ni mpendwa wangu, ni mpendwa wangu tazama nakuja; akiruka ruka milimani, akichacharuka milimani, Mpendwa wangu ni kama paa ni kama ayala tazama nakuja.
2.Tazama tazama asimama asimama nyuma ya ukuta wetu; achungulia dirishani
atazama kilimani anakuja; Akiruruka..........
3.Mpendwa wangu aliinena yeye alinena akaniambia; ondoka ewe mpenzi wangu
ewe mzuri wangu ili uje zako; Akirukaruka....................
4.Nitazame nitazame uso wako niisikie sauti yako; maana sauti yako tamu ni tamu
na uso wako ni mzuri; Akirukaruka.....................
5.Mpendwa wangu kweli ni wangu hakika ni wangu na mimi ni wake; Mpendwa
wangu hulisha kundi hulisha kundi lake kwenye nyinyoro; Akirukaruka.....................