Ingia / Jisajili

Siku Hii Ndiyo

Mtunzi: A.Family
> Mfahamu Zaidi A.Family
> Tazama Nyimbo nyingine za A.Family

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Aloyce Family

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Siku hii ndiyo aliyoifanya Bwana×2 Tutaishangilia nakuifurahia tutaishangilia Aleluya×2

1..Aleluya mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema, kwamaana fadhili zake nizamilele, usraeli na aseme sasa yakwamba fadhili zake nizamilele.

2..Mkono wa kuume wa Bwana umetukuzwa, mkono wa kuume wa Bwana hutenda makuu, sitakufa bali nitaishi, nami nitayasimulia matendo ya Bwana.

3..Jiwe walilolikataa kataa waashi, limekuwa ni jiwe kuu kuu la pembeni, Neno hili latoka kwa Bwana, nalo ni ajabu ajabu machoni petu.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa