Ingia / Jisajili

Dr. Alex Xavery Matofali

Mfahamu Dr. Alex Xavery Matofali, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Morogoro Parokia ya Bikira Maria wa Mlima Karmeli

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 145 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Morogoro

Parokia anayofanya utume: Bikira Maria wa Mlima Karmeli

Namba ya simu: +255 655 665 662

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Nina zaidi miaka 20 toka nianze kuimba na ninaimba sauti ya tatu au ya nne, ninaimba kwenye kwaya ya Bikira Maria wa Mlima Kalmeli, Parokia ya Bikira Maria wa Mlima Karmeli, Kihonda Maghorofani, Morogoro. Nafanya kazi kama mhadhili katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) kwenye Kitivo cha Sayansi, Idara ya Hisabati.