Ingia / Jisajili

Adolf A. Katambi

Mfahamu Adolf A. Katambi, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Dar Es Salaam Parokia ya Mt. Yohane Mtume na mwinjili-Tegeta

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 17 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Dar Es Salaam

Parokia anayofanya utume: Mt. Yohane Mtume na mwinjili-Tegeta

Namba ya simu: 0757647916

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Mwalimu Adolf Katambi amekuwa akihudumia katika parokia ya Mt. Yohana Mtume na Mwinjili-Tegeta katika kwaya ya Mt. Cecilia. Pia anafanya utume katika Parokia ya Bugando hasa katika kanisa la Mt. Martin DePores katika kwaya ya Mt. Yuda Thadeus-Bugando(Kwaya ya CUHAS & BMC) ambapo anaendelea na masomo yake ya utabibu(MD).