Ingia / Jisajili

Alberto Paschal Kapufi

Mfahamu Alberto Paschal Kapufi, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Dar es Salaam Parokia ya Tandale

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 1 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Dar es Salaam

Parokia anayofanya utume: Tandale

Namba ya simu: 0622266033

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Naitwa Alberto Paschal Kapufi mzaliws wa kata ya Buhingu wilaya ya Uvinza mkoa wa Kigoma Nilivutiwa na muziki Mtakatifu wa kanisa katoliki nikajifunza Mungu Ni mwema nilifanukiwa kujua na Sasa Ni Mwalimu Mtunzi na mpiga kinanda (Organist) Namshukuru Mungu kwa kunijalia karama hii,Hivyo karibu ktk account yangu tushirikishane baadhi ya nyimbo zangu ktk kumsifu na kumtukuza Mungu,Nje ya maswala ya muziki Mtakatifu wa kanisa ninafanya kazi za ujasiriamali-Njoni Tumwimbie Bwana ktk roho na kweli????