Ingia / Jisajili

Alexander Ndibalema

Mfahamu Alexander Ndibalema, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Dar es Salaam Parokia ya Parokia ya Mt. Yohana Mtume na Mwinjili Tegeta

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 2 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Dar es Salaam

Parokia anayofanya utume: Parokia ya Mt. Yohana Mtume na Mwinjili Tegeta

Namba ya simu: 0752605332

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Mtunzi na Mwalimu wa Sauti niko Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Parokia ya Mt. Yohana Mtume na Mwinjili Tegeta, nikifundisha Kwaya ya Damu Takatifu ya Yesu. 

Awali, nilifanya utume Bukoba Cathedral, katika Jimbo la Bukoba.