Ingia / Jisajili

Alvinus Mkombozi

Mfahamu Alvinus Mkombozi, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la KAYANGA Parokia ya NYAISHOZI

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 3 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: KAYANGA

Parokia anayofanya utume: NYAISHOZI

Namba ya simu: 0620671377

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Alianza kujifunza mziki alipoanza pre-form one 2014 Katoke Seminary.Kutokana na kuwepo na club ya muziki seminarini hapo.Alihitimu form 4 2018.