Ingia / Jisajili

Alviny M.Muhigi

Mfahamu Alviny M.Muhigi, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Kayanga Parokia ya Nyaishozi

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 1 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Kayanga

Parokia anayofanya utume: Nyaishozi

Namba ya simu: 0622109379

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Alihitimu kidato cha nne seminary ya KATOKE-biharamulo.Alijifunza mziki akiwa seminarini mwa 2014-2018.Anamshukuru Mungu kwa zawdi ya uhai.