Ingia / Jisajili

Mwl. Annord Mwapinga

Mfahamu Mwl. Annord Mwapinga, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Moshi

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 126 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Moshi

Namba ya simu: 0753121410 /0713038329

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Kwa sasa ni mwl. wa kwaya za kanisa katoliki Mwenge  - Longuo (Moshi) Kanisa hili ni Kigango teule si parokia na hakina parokia

Nilianza utume wa uimbaji mwaka 1994 katika kwaya ya UVIKANJO iliyopo kigango cha Lusitu Parokia ya Luhororo jimbo la Njombe. Kwaya iliyo niimarisha zaidi kiuimbaji ni kwaya ya Mt. Agustino ya kanisa la Mwenge.

Pia ni Mkufunzi msaidizi Idara ya Hisabati katika chuo kikuu cha Kikatoliki Mwenge (MOSHI)