Ingia / Jisajili

Antony E. Sulley

Mfahamu Antony E. Sulley, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Mbulu Parokia ya Riroda

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 2 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Mbulu

Parokia anayofanya utume: Riroda

Namba ya simu: 068847227

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Naitwa Mwl Antony E. Sulley nimezaliwa tarehe 02-06-1999 Katika wilaya ya Babati kwa Sasa Ni Mwl wa kwaya ktk Parokia ya Riroda Jimbo Katoliki la Mbulu,Nje ya muziki wa kanisa nafanya kazi za kilimo..!! Karibuni Tumwimbie Bwana ktk roho na kweli...!!