Mfahamu Audax Rweyemamu, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Bukoba Parokia ya Kasherero
Idadi ya nyimbo SMN: 2 > Zitazame
Jimbo analofanya utume: Bukoba
Parokia anayofanya utume: Kasherero
Namba ya simu: 0716883848
Soma Historia na maelezo yake hapaWasiliana na mtunzi kwa email:
Mwalimu Audax Rweyemamu ni mtunzi mkongwe tangu mwaka 1990 akiwa katika Parokia ya Mt.Camilius Yombo, Mt.Anyesi Kibangu Dar es Salaam ambako alihudumu hadi mwaka mwaka 2016 ambako alirejea Bukoba hadi sasa.