Ingia / Jisajili

Augustine Rutakolezibwa

Mfahamu Augustine Rutakolezibwa, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Dar es Salaam Parokia ya Mbezi Louis

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 397 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Dar es Salaam

Parokia anayofanya utume: Mbezi Louis

Namba ya simu: +255 754 252 424, +255 782 032 424, +255 715 615 191

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Advocate of the HIGH COURT OF TANZANIA

Partner at VENTRIX LAW ATTORNEYS-Dar es salaam.

Education: LLM(University of Zimbabwe), LLB ( Univrsity of DSM), Rutabo seminary( primary Education), Rubya Seminary ( secondary education)

Alianza kuimba 1988 kama mtoto wa sauti ya tatu. Alianza kuongoza kwaya na kujifunza muziki Rutabo semiary 1989. Mpaka sasa  ni Mwalimu, Mtunzi na Muimbaji.

Kwaya alizoimba: 
Kwaya ya Kigango Ngando-Parokia ya Kassambya, Jimbo Katoliki la Bukoba.
Kwaya ya shule: Rutabo & Rubya seminary.
Choirmaster St. Monica-Parokia ya Kilungule - 1998/2000
Choirmaster St. Augustne, Univesity of Dar es Salaam, 2000/2002
Choirmaster St. Don Bosco, Mto wa mbu Arusha-2003/2005
Mwalimu/conductor: St. Cecilia - St. Theresa Arusha 2005/2006
Mwalimu: kwaya ya vijana (St. Don Bosco) Bukoba Cathedral-2006/2007
Choirmaster: St. Theresia- ushirombo - Jimbo Katoliki la Kahama-2008/2011
Mahali alipo: Dar es Salaam - Mbezi Louis
Parokia ya kuzaliwa: Kassambya
Jimbo: Katoliki la Bukoba