Ingia / Jisajili

Ausebi Mwalongo

Mfahamu Ausebi Mwalongo, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la MOROGORO Parokia ya GAIRO

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 3 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: MOROGORO

Parokia anayofanya utume: GAIRO

Namba ya simu: +255762336950

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Ausebi Mwalongo ni Mwanakwaya wa Muda Mrefu, Mwalimu wa Kwaya na Mtunzi wa Nyimbo za Kikatoliki. Kwa sasa anaishi Gairo ambako ni Mwalimu katika Shule ya Sekondari Chakwale katika Halmashauri ya Wilaya ya Gairo.