Mfahamu Baraka John, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Dar es Salaam Parokia ya Mt Ambrose Taghaste
Idadi ya nyimbo SMN: 108 > Zitazame
Jimbo analofanya utume: Dar es Salaam
Parokia anayofanya utume: Mt Ambrose Taghaste
Namba ya simu: 0719 894 390
Soma Historia na maelezo yake hapa
Ni mwalimu wa kwaya ya kigango cha Mt Monica Monica,Matosa kilichopo jimbo kuu la Dar es Salaam. Pia ni muimbaji wa kwaya sauti ya tatu(3)