Ingia / Jisajili

Baraka Timoth Kifyasi

Mfahamu Baraka Timoth Kifyasi, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Dar es salaam Parokia ya Maria Mtakatifu Kimara

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 9 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Dar es salaam

Parokia anayofanya utume: Maria Mtakatifu Kimara

Namba ya simu: 0694009484

Soma Historia na maelezo yake hapa

Historia / Maelezo

Ni Mwalimu na muimbaji wa sauti ya tatu katika kwaya ya Mtakatifu Paulo Mtume parokia ya Maria Mtakatifu Kimara Mwisho