Ingia / Jisajili

Benedict Mashaka Lupi

Mfahamu Benedict Mashaka Lupi, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Mwanza Parokia ya IBINDO

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 24 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Mwanza

Parokia anayofanya utume: IBINDO

Namba ya simu: 0674200338

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

MWALIMU WA KWAYA NA MWANAKWAYA: Ninafanya utume wangu wa uimbaji katika parokia ya Mtakatifu Karoli Lwanga- Ibindo- Jimbo kuu is Mwanza. Kwaya nilizowahi kuhudumu ni pamoja na:- 1. Kwaya ya Mtakatifu Karoli Lwanga- Parokia ya Ibindo - Mwanza 2. Kwaya ya Mtakatifu Yosefu mfanyakazi- Parokia ya Kadashi - Mwanza 3. Kwaya ya Maria wa Rosari- Parokia ya Uyui - Tabora. 4. Kwaya ya Mtakatifu Anton wa Padua- Parokia ya Magiri- Tabora. 5. Na kwa sasa niko katika kwaya ya Mtakatifu Francisca- kigango cha madudumizi - Parokia ya Kilosa- Jimbo Katoliki la Morogoro.